• English
  • Kiswahili
  • Wasiliana Nasi
  • e-Vibali
  • Barua Pepe
  • PEPMIS
  • Mrejesho
  • Ukubwa wa Maneno:  icon_a1.png icon_a3.png
Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Muundo
    • Dira & Dhima
    • Maelezo Kuhusu Ofisi
  • Idara na vitengo
    • Idara
      • Sera na Mipango
      • Uwekezaji wa Sekta Binafsi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Uwekezaji wa Sekta ya Umma
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Mazingira ya Biashara
  • Sera & Sheria
    • Sheria
    • Sera
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Mikakati
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Taarifa kwa Umma
    • Jarida
    • Takwimu
    • Hotuba
  • Miradi
    • miradi iliyokamilika
    • Miradi inayotekelezwa
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)
    • Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA)
  • Zabuni
    • Zabuni ya Ununuzi wa magari
  • Mazingira ya Biashara
    • Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara (MKUMBI)
  • Dira Ya Taifa Ya Maendeleo 2050
Mhe. Prof. Kitila Alexander Mkumbo
Mhe. Prof. Kitila Alexander Mkumbo
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji
Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo
Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji
Dkt. Tausi Mbaga Kida
Dkt. Tausi Mbaga Kida
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji
Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Dkt. Tausi Kida akitambulishwa kabla ya mjadala Bungeni jijini Dodoma leo, ambapo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amehitimisha mjadala wa Hali ya Uchumi na Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2025/26.

Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

Naibu Waziri wa Nhi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mheshimiwa Stanslaus Nyongo (Mb.), akichangia hoja Bungeni jijini Dodoma leo, kabla ya kuhitimishwa kwa mjadala wa Hali ya Uchumi na Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2025/26. Mjadala ulihitimishwa rasmi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo.

Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, akihitimisha mjadala wa wabunge kuhusu hali ya uchumi na mpango wa maendeleo wa taifa kwa mwaka 2025/2026 Bungeni, Dodoma.

Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida (Wa kwanza kushoto) akiangalia bidhaa zinazozalishwa na viwanda ambavyo vipo chini ya Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA) alipotembelea maonesho ya Kitaifa ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Chinangali Park, Dodoma.

Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida na Mkurugenzi Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasiliamali watu Bw. Benjamin Chilumba katika picha na Watumishi wa Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA) alipotembelea maonesho ya Kitaifa ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Chinangali Park, Dodoma.

Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida na Mkurugenzi Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasiliamali watu Bw. Benjamin Chilumba katika picha na Watumishi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) alipotembelea maonesho ya Kitaifa ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Chinangali Park, Dodoma.

Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida na Mkurugenzi Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasiliamali watu Bw. Benjamin Chilumba katika picha na Watumishi wa Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji alipotembelea maonesho ya Kitaifa ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Chinangali Park, Dodoma

Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida akisaini kitabu katika banda la Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora alipotembelea maonesho ya Kitaifa ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Chinangali Park, Dodoma

Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

Wananchi mbalimbali watembelea banda la Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma - 2025 yanayoendelea viwanja vya Chinangali, Dodoma.

Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

Wananchi mbalimbali wakipata maelezo katika banda la Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma - 2025 yanayoendelea viwanja vya Chinangali, Dodoma.

Previous Next

Habari Mpya

PROF. MKUMBO UCHUMI UMEBAKI IMARA LICHA YA MDORORO WA DUNIA
PROF. MKUMBO UCHUMI UMEBAKI IMARA LICHA YA MDORORO WA DUNIA
Jun 24, 2025
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amehitimisha mjadala wa wabunge kuhusu hali ya uchumi na Mpango wa Maende...
PROF. MKUMBO: DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KIELELEZO CHA UHURU KAMILI WA KIUCHUMI TANZANIA
PROF. MKUMBO: DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KIELELEZO CHA UHURU KAMILI WA KIUCHUMI TANZANIA
Jun 23, 2025
Tanzania imepiga hatua kubwa na thabiti kuelekea uhuru wake kamili wa kiuchumi kwa kufadhili na kutekeleza miradi mikubwa ya miundombinu ya kiuchumi k...
DIRA YA TAIFA 2050 KUPELEKWA BUNGENI KWA KUIDHINISHWA
DIRA YA TAIFA 2050 KUPELEKWA BUNGENI KWA KUIDHINISHWA
Jun 21, 2025
DODOMA – Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 inatarajiwa kuwasilishwa Bungeni Juni 26, 2025, kwa ajili ya kuidhinishwa na wabunge kabla ya kuzinduli...
DKT. KIDA AKAGUA JENGO LA OFISI MPYA MTUMBA, ATOA WITO WA KUKAMILIKA KWA WAKATI
DKT. KIDA AKAGUA JENGO LA OFISI MPYA MTUMBA, ATOA WITO WA KUKAMILIKA KWA WAKATI
Jun 21, 2025
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida, leo amekagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi hiyo lililopo Mtaa wa Ardhi, Mji...
UCHUMI WA TANZANIA WAKUA, SERIKALI KUENDELEZA MIRADI MIKUBWA
UCHUMI WA TANZANIA WAKUA, SERIKALI KUENDELEZA MIRADI MIKUBWA
Jun 12, 2025
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, leo Juni 12, 2025 amewasilisha Hotuba ya hali ya uchumi nchini kwa mwaka 202...
Tazama Zote

Matangazo

MHE. PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.), AKIWASILISHA...
Jun 12, 2025
HOTUBA YA BAJETI YA MWAKA 2025/26 - MHE. PROF. KITILA A...
Apr 24, 2025
MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA...
Mar 11, 2025
MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA 2025/26
Nov 11, 2024
MUHTASARI WA KIKAO CHA UFAFANUZI KWA AJILI YA UNUNUZI W...
Oct 03, 2024
SUPPLY AND DELIVERY OF ONE NEW 4WD STATION WAGON VEHICL...
Sep 19, 2024
UKATISHAJI WA UTARATIBU WA ZABUNI
Sep 18, 2024
TAARIFA YA HALI YA UCHUMI MWAKA 2023 NA MPANGO WA MAEND...
Jun 13, 2024
Tazama Zote

Nyaraka

  • Hotuba
    13
  • Zabuni ya Ununuzi wa Magari
    18
  • Sera
    0
  • Ripoti
    19
  • MIONGOZO
    1
pdf-128
24 Jun 2025

MAELEZO YA MHE. PROF. MKUMBO AKIHITIMISHA MJADALA WA TAARIFA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA 2025/26


Soma zaidi
pdf-128
12 Jun 2025

MHESH. PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA HALI YA UCHUMI KWA MWAKA 2024 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2025/26


Soma zaidi
pdf-128
24 Apr 2025

HOTUBA YA MHESHIMIWA PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI KWA MWAKA 2025/26


Soma zaidi
pdf-128
07 Aug 2024

HOTUBA YA MHE. PROF. MKUMBO WAKATI WA KONGAMANO LA UWEKEZAJI NANENANE 2024


Soma zaidi
Tazama Zote

Video

15th Jul, 2024
SERIKALI YAKUTANA NA WAZALISHAJI WA SUKARI NCHINI
30th Jun, 2024
SERIKALI KUWEKA MKAZO WA MAENDELEO VIJIJINI KUPITI...
06th Jun, 2024
PROF. MKUMBO AKITOA UFAFANUZI KUHUSU ZIARA YA MHE....
07th May, 2024
UZINDUZI WA KITUO CHA HUDUMA KWA WAWEKEZAJI
Tazama Zote

Taasisi chini ya Wizara

Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA)

Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

Ofisi ya Msajili wa Hazina

Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

Tume ya Mipango

Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)

Mahali
Wasiliana Nasi
Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji
Mji wa Serikali-Mtumba 1 Barabara ya Ardhi, S.L.P. 104, 40403 DODOMA.
ps@planninginvestment.go.tz
+255 (026) 2962384
Kurasa za Karibu
  • Barua Pepe ya Wafanyakazi

  • Dira Ya Taifa Ya Maendeleo 2050

  • Habari

  • PEPMIS

  • Mwongozo wa Mawasiliano kwa Njia ya Video Serikalini

Tufuatilie
Tovuti Mashuhuri
  • Tovuti Kuu ya Serikali

  • Bunge la Tanzania

  • Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF)

  • Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI)

  • Wizara ya Viwanda na Biashara

  • OR-MUUUB

  • PO-RALG

  • Ramani ya Tovuti
  • Sera ya Faragha
  • Vigezo & Masharti
  • Hakimiliki
  • Kanusho
  • Imesanifiwa na Imetengenezwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao na Inaendeshwa na WHMTH
    © 2025 Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Haki zote zimehifadhiwa.